Thu Apr 27 2023 15:05:02 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 15:05:05 +03:00
parent 2825730a8a
commit 17c5306d25
11 changed files with 12 additions and 12 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 34 34 Hadi siku hii ya leo wameshikilia tamaduni zao za zamani. Wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zake, torati, au amri ambazo BWANA aliwapa watu wa Yakobo ambaye alimwita jina Israeli \v 35 35 pamoja na ambao BWANA alifanya agano nao na kuwaamuru, "Msiiche miungu mingine, wala kuisujudia, wala kuiabudu, wala kuitolea sadaka.
\v 34 Hadi siku hii ya leo wameshikilia tamaduni zao za zamani. Wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zake, torati, au amri ambazo BWANA aliwapa watu wa Yakobo ambaye alimwita jina Israeli \v 35 pamoja na ambao BWANA alifanya agano nao na kuwaamuru, "Msiiche miungu mingine, wala kuisujudia, wala kuiabudu, wala kuitolea sadaka.

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 36 Lakini BWANA, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri kwa nguvu kubwa na mkono ulionyooshwa, yeye ndiye mnayetakiwa kumwabudu, yeye ndiye mnayetakiwa kumsujudia, na yeye ndiye mnayetakiwa kumtolea sadaka. \v 37 37 Na sheria na hukumu, na torati na amri ambazo alizoziandika kwa ajili yenu, mtazishika milele. Hivyo msiiche miungu mingine, \v 38 38 na agano ambalo nimelifanya pamoja nanyi, hamtalisahau; wala kuicha miungu mingine.
\v 36 Lakini BWANA, ambaye aliwatoa kutoka nchi ya Misri kwa nguvu kubwa na mkono ulionyooshwa, yeye ndiye mnayetakiwa kumwabudu, yeye ndiye mnayetakiwa kumsujudia, na yeye ndiye mnayetakiwa kumtolea sadaka. \v 37 Na sheria na hukumu, na torati na amri ambazo alizoziandika kwa ajili yenu, mtazishika milele. Hivyo msiiche miungu mingine, \v 38 na agano ambalo nimelifanya pamoja nanyi, hamtalisahau; wala kuicha miungu mingine.

View File

@ -1 +1 @@
\v 39 39 Lakini BWANA Mungu wenu, ndiye ambaye mtakayemcha. Atawalinda mbali na nguvu ya maadui zenu," \v 40 40 Hawakusikia, kwa sababu waliendelea kufanya yale waliyokuwa wameyafanya nyuma. \v 41 41 Hivyo haya mataifa wakamcha wakamcha BWANA na pia wakaabudu sanamu zao za kuchonga, na watoto wao wakafanya hivyo na watoto wao, Wakaendelea kufanya yale ambayo baba zao waliyoyafanya, hata leo.
\v 39 Lakini BWANA Mungu wenu, ndiye ambaye mtakayemcha. Atawalinda mbali na nguvu ya maadui zenu," \v 40 Hawakusikia, kwa sababu waliendelea kufanya yale waliyokuwa wameyafanya nyuma. \v 41 Hivyo haya mataifa wakamcha wakamcha BWANA na pia wakaabudu sanamu zao za kuchonga, na watoto wao wakafanya hivyo na watoto wao, Wakaendelea kufanya yale ambayo baba zao waliyoyafanya, hata leo.

View File

@ -1 +1 @@
\c 18 \v 1 1 Ikawa katika mwaka wa tatu wa Hoshea mwana wa Ela, mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi, mfalme wa Yuda akaanza kutawala. \v 2 2 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala; alitawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu. Jina la mama yake alikuwa anaitwa Abija; alikuwa binti wa Zekaria. \v 3 3 Alifanya yaliyo mema usoni pa BWANA, kufuata mfano wa yote ambayo Daudi, babu yake, aliyoyafanya.
\c 18 \v 1 Ikawa katika mwaka wa tatu wa Hoshea mwana wa Ela, mfalme wa Israeli, Hezekia mwana wa Ahazi, mfalme wa Yuda akaanza kutawala. \v 2 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala; alitawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu. Jina la mama yake alikuwa anaitwa Abija; alikuwa binti wa Zekaria. \v 3 Alifanya yaliyo mema usoni pa BWANA, kufuata mfano wa yote ambayo Daudi, babu yake, aliyoyafanya.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 4 Alipaondoa mahali pa juu, akaiharibu nguzo ya jiwe, akaikata hiyo nguzo ya Ashera. Akavunja vipande vipande ile nyoka ambayo Musa aliyokuwa ameifanya, kwa sababu siku zile wana wa Israeli walikuwa wakichoma ubani katika hiyo; ilikuwa inaitwa "Nehushtani." \v 5 5 Hezekia alimwamini BWANA, Mungu wa Israeli, hivyo basi baada ya yeye hapakuwa kama yeye miongoni mwa wafalme wote wa Yuda, wala miongoni mwa wafalme ambao walikuwa kabla yake.
\v 4 Alipaondoa mahali pa juu, akaiharibu nguzo ya jiwe, akaikata hiyo nguzo ya Ashera. Akavunja vipande vipande ile nyoka ambayo Musa aliyokuwa ameifanya, kwa sababu siku zile wana wa Israeli walikuwa wakichoma ubani katika hiyo; ilikuwa inaitwa "Nehushtani." \v 5 Hezekia alimwamini BWANA, Mungu wa Israeli, hivyo basi baada ya yeye hapakuwa kama yeye miongoni mwa wafalme wote wa Yuda, wala miongoni mwa wafalme ambao walikuwa kabla yake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 6 Aliambatana na BWANA. Hakuacha kumfuata lakini alizifuata amri zake, ambazo BWANA alimwamuru Musa. \v 7 7 Hivyo BWANA alikuwa na Hezekia, kila alipokwenda alifanikiwa. Akaasi dhidi ya mfalme wa Ashuru na hakumtumikia. \v 8 8 Akawashambulia Wafilisti hadi Gaza na mipaka inayoizunguka, kutoka mnara wa walinzi hadi mji wenye ngome.
\v 6 Aliambatana na BWANA. Hakuacha kumfuata lakini alizifuata amri zake, ambazo BWANA alimwamuru Musa. \v 7 Hivyo BWANA alikuwa na Hezekia, kila alipokwenda alifanikiwa. Akaasi dhidi ya mfalme wa Ashuru na hakumtumikia. \v 8 Akawashambulia Wafilisti hadi Gaza na mipaka inayoizunguka, kutoka mnara wa walinzi hadi mji wenye ngome.

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 9 Katika mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa saba wa Hoshea mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Shalmanesa mfalme wa Ashuru akapanda hadi Samaria na kuizunguka. \v 10 10 Mwishoni mwa miaka mitatu wakaichukua, katika mwaka wa sita wa Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa tisa wa Hoshea mfalme wa Israeli; hivi ndivyo Samaria ilivyotekwa.
\v 9 Katika mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa saba wa Hoshea mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Shalmanesa mfalme wa Ashuru akapanda hadi Samaria na kuizunguka. \v 10 Mwishoni mwa miaka mitatu wakaichukua, katika mwaka wa sita wa Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa tisa wa Hoshea mfalme wa Israeli; hivi ndivyo Samaria ilivyotekwa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 11 Basi mfalme wa Ashuru akawachukua Israeli kwenda Ashuru na kuwaweka kwenye Hala, na katika mto Habori katika Gozani, na katika mji wa Wamedi. \v 12 12 Alifanya hivi kwa sababu hawakutii sauti ya BWANA Mungu wao, lakini walikiuka makubaliano ya agano lake, yote yale ambayo Musa yule mtumishi wa BWANA aliwaamuru. Walikataa kuyasikiliza au kuyafanya.
\v 11 Basi mfalme wa Ashuru akawachukua Israeli kwenda Ashuru na kuwaweka kwenye Hala, na katika mto Habori katika Gozani, na katika mji wa Wamedi. \v 12 Alifanya hivi kwa sababu hawakutii sauti ya BWANA Mungu wao, lakini walikiuka makubaliano ya agano lake, yote yale ambayo Musa yule mtumishi wa BWANA aliwaamuru. Walikataa kuyasikiliza au kuyafanya.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 13 Kisha katika mwaka wa kumi na nne wa mfalme Hezekia, Senakerebu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote yenye boma na kuwateka mateka. \v 14 14 Basi Hezekia mfalme wa Yuda akatuma neno kwenda kwa mfalme wa Yuda akatuma neno kwa mfalme wa Ashuru, ambaye alikuwa Lakishi, akisema, "Nimekuudhi. Nichukue. Popote utakaponiweka nitavumulia". Mfalme wa Ashuru akamtaka Hezekia mfalme wa Yuda kulipa talanta mia tatu za fedha na talanta thelathini za dhahabu. \v 15 15 Hivyo Hezekia akampatia fedha zote ambazo zilikuwa zimepatikana kwenye nyumba ya BWANA na kwenye hazina ya nyumba ya mfalme.
\v 13 Kisha katika mwaka wa kumi na nne wa mfalme Hezekia, Senakerebu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote yenye boma na kuwateka mateka. \v 14 Basi Hezekia mfalme wa Yuda akatuma neno kwenda kwa mfalme wa Yuda akatuma neno kwa mfalme wa Ashuru, ambaye alikuwa Lakishi, akisema, "Nimekuudhi. Nichukue. Popote utakaponiweka nitavumulia". Mfalme wa Ashuru akamtaka Hezekia mfalme wa Yuda kulipa talanta mia tatu za fedha na talanta thelathini za dhahabu. \v 15 Hivyo Hezekia akampatia fedha zote ambazo zilikuwa zimepatikana kwenye nyumba ya BWANA na kwenye hazina ya nyumba ya mfalme.

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 16 Kisha Hezekia akaikata ile dhahabu kutoka kwenye milango ya hekalu la BWANA na kutoka juu ya nguzo; akampatia dhahabu mfalme wa Ashuru. \v 17 17 Lakini mfalme wa Ashuru akalihamasisha jeshi lake kubwa, akawatuma Tartani na Rabsarisi na amiri jeshi mkuu kutoka Lakishi kwenda kwa Hezekia huko Yerusalemu. Wakasafiri hadi kwenye mabarabara na kufika nje ya Yerusalemu. Wakakaribia karibu na mfereji wa birika la juu, kwenye barabara kuu ya shamba la dobi, na kusimama hapo. \v 18 18 Wakati walipokuwa wamemwita Mfalme Hezekia, Eliakimu mwana wa Hilkia, ambaye alikuwa kiongozi wa nyumba ya mfalme na Shebna mwandishi, na Joa mwana wa Asafu, anayeandika kumbukumbu, wakatoka nje kwenda kuwalaki
\v 16 Kisha Hezekia akaikata ile dhahabu kutoka kwenye milango ya hekalu la BWANA na kutoka juu ya nguzo; akampatia dhahabu mfalme wa Ashuru. \v 17 Lakini mfalme wa Ashuru akalihamasisha jeshi lake kubwa, akawatuma Tartani na Rabsarisi na amiri jeshi mkuu kutoka Lakishi kwenda kwa Hezekia huko Yerusalemu. Wakasafiri hadi kwenye mabarabara na kufika nje ya Yerusalemu. Wakakaribia karibu na mfereji wa birika la juu, kwenye barabara kuu ya shamba la dobi, na kusimama hapo. \v 18 Wakati walipokuwa wamemwita Mfalme Hezekia, Eliakimu mwana wa Hilkia, ambaye alikuwa kiongozi wa nyumba ya mfalme na Shebna mwandishi, na Joa mwana wa Asafu, anayeandika kumbukumbu, wakatoka nje kwenda kuwalaki

View File

@ -1,2 +1,2 @@
\v 19 19 Basi yule amiri jeshi mkuu akawaambia wamwambie Hezekia kile alichosema mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, amesema: "Nini chanzo cha ujasiri
wako? \v 20 20 Unaongea maneno yasiyo na maana, kusema lipo neno na nguvu ya vita. Sasa unamtumainia nani? Nani anakupa ujasiri wa kuasi dhidi yangu? \v 21 21 Tazama, unatumainia kutembelea fimbo ya mwanzi huu uliopondeka wa Misri, lakini kama mtu akiutegemea, utamchapa kwenye mkono wake na kuutoboa. Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri kwa mtu yeyote ambaye anayemtumainia.
\v 19 Basi yule amiri jeshi mkuu akawaambia wamwambie Hezekia kile alichosema mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, amesema: "Nini chanzo cha ujasiri
wako? \v 20 Unaongea maneno yasiyo na maana, kusema lipo neno na nguvu ya vita. Sasa unamtumainia nani? Nani anakupa ujasiri wa kuasi dhidi yangu? \v 21 2Tazama, unatumainia kutembelea fimbo ya mwanzi huu uliopondeka wa Misri, lakini kama mtu akiutegemea, utamchapa kwenye mkono wake na kuutoboa. Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri kwa mtu yeyote ambaye anayemtumainia.