Mon Apr 24 2023 15:50:21 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 15:50:22 +03:00
parent 673d8c3f50
commit 15bcba040d
1 changed files with 1 additions and 0 deletions

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 \v 19 \v 20 17 Kwa kuwa BWANA asema hivi, 'Hutaona upepo, wala hamtaona mvua, bali hili bonde la mto litajaa maji, na mtakunywa, ninyi na mifugo yenu na wanyama wenu wote.' 18 Jambo hili ni jepesi machoni pa BWANA. Pia atawapa ushindi juu ya hao Wamoabu. 19 Mtaiteka kila ngome ya mji na kila mji mzuri, kukata kila mti mzuri, kusimamisha chemichemi zote za maji, na kuharibu kila sehemu nzuri ya nchi na miamba." 20 Hivyo asubuhi karibia na muda wa kutoa sadaka ya kuteketeza, yakaja maji kutoka uelekeo wa Edomu; nchi ikajaa maji.