Thu Apr 27 2023 19:41:00 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
9bb546b96b
commit
0636dc0183
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\v 14 Basi Hilkia yule kuhani, Ahikamu, Akbori, Shafani, na Asaya wakaenda kwa Hulda nabii wa kike, mke wa Shalumu mwana wa Tikva mwana wa Harhasi, mtunza kabati la nguo (aliishi katika Yerusalemu katika mtaa wa pili), na wakaongea pamoja naye. \v 15 Akawaambia, "Hivi ndivyo BWANA, Mungu wa Israeli, asemavyo: 'Mwambie huyu mtu aliyekutuma kwangu, \v 16 "Hivi ndivyo BWANA asemavyo: 'Tazama, nitaleta janga kwenye hii sehemu na juu ya wakaao hapa, kulingana na kila kitu kilichoandikwa kwenye kitabu ambacho mfalme wa Yuda alichokisoma.
|
\v 14 Basi Hilkia yule kuhani, Ahikamu, Akbori, Shafani, na Asaya wakaenda kwa Hulda nabii wa kike, mke wa Shalumu mwana wa Tikva mwana wa Harhasi, mtunza kabati la nguo (aliishi katika Yerusalemu katika mtaa wa pili), na wakaongea pamoja naye. \v 15 Akawaambia, "Hivi ndivyo BWANA, Mungu wa Israeli, asemavyo: 'Mwambie huyu mtu aliyekutuma kwangu, \v 16 hivi ndivyo BWANA asemavyo: 'Tazama, nitaleta janga kwenye hii sehemu na juu ya wakaao hapa, kulingana na kila kitu kilichoandikwa kwenye kitabu ambacho mfalme wa Yuda alichokisoma.
|
Loading…
Reference in New Issue