sw_2ki_text_reg/04/21.txt

1 line
272 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 21 Hivyo yule mwanamke akambeba na kumlaza kwenye kile kitanda cha mtu wa Mungu, akafunga mlango, na kutoka nje. \v 22 Akamwita mume wake, na kusema, "Tafadhali nitumie mmoja wa watumishi wako na moja ya punda wako ili niweze kuwahi kwa mtu wa Mungu ili niweze kurudi."