Fri Sep 01 2023 19:32:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:32:32 +03:00
parent 8769cb592b
commit 9cb6c52ed4
5 changed files with 12 additions and 2 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 1 \v 1 Petro, mtume wa Yesu Kristo, kwa wageni waliotawanyika, wateule, kote Ponto Galatia, Kapadokia, Asia, na Bithinia. \v 2 Hii ni kutokana na ufahamu wa kimbele wa Mungu Baba, kupitia kazi ya utakaso ya Roho, kwa utiifu na kwa kunyunyuziwa damu ya Yesu Kristo. Neema iwe kwenu, na amani yenu iongezeke.

1
01/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Na ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Katika ukuu wa rehema yake, alitupa kuzaliwa upya kwa ujasiri wa urithi kupitia ufufuo wa Yesu Kristo kutoka katika wafu,\v 4 kwa urithi usioangamia, hautakua na uchafu wala kupungua. Umehihifadhiwa mbinguni kwa ajili yenu. 5 Kwa uwezo wa Mungu mnalindwa kupitia imani kwa wokovu ambao upo tayari kufunuliwa katika nyakati za mwisho.

1
01/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 1

1
front/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
1 Petro

View File

@ -32,6 +32,12 @@
}
],
"parent_draft": {},
"translators": [],
"finished_chunks": []
"translators": [
"embraceswahilibiblereview"
],
"finished_chunks": [
"front-title",
"01-title",
"01-01"
]
}