Fri Sep 01 2023 19:38:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:38:33 +03:00
parent a2d53f5056
commit 53b3c5cb32
6 changed files with 11 additions and 1 deletions

1
01/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Kwa maana " miili yote ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la jani. Jani hunyauka, na ua hudondoka, \v 25 lakini neno la Bwana hubakia milele." Huu ni ujumbe ambao ulitangazwa kama injili kwenu.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Kwa hiyo wekeni pembeni uovu wote, udanganyifu, unafiki, wivu na kashifa. \v 2 Kama watoto wachanga, mtamani maziwa safi ya kiroho, ili kwamba mweze kukua ndani ya wokovu, \v 3 kama mmeonja kwamba Bwana ni mwema.

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Njoni kwake aliye jiwe hai linaloishi ambalo limekataliwa na watu, lakini hilo limechaguliwa na Mungu na ni la thamani kwake. \v 5 Ninyi pia ni kama mawe yaliyo hai yanayojengwa juu kuwa nyumba ya kiroho, ili kuwa ukuhani mtakatifu ambao hutoa dhabihu za kiroho zinazokubaliwa kwa Mungu kupitia Yesu Kristo.

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Andiko husema hivi, "Tazama, nimeweka katika Sayuni jiwe la pembeni, kuu na lililochaguliwa na la thamani. Yeyote aaminiye katika yeye hataona aibu".

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 2

View File

@ -47,6 +47,11 @@
"01-15",
"01-18",
"01-20",
"01-22"
"01-22",
"01-24",
"02-title",
"02-01",
"02-04",
"02-06"
]
}