\v 12 \v 13 12 Kisha Sulemani akasema, "BWANA amesema kuwa anaweza kuishi hata kwenye giza nene, 13 Lakini nimekujengea makao ya kujivunia, mahali pako pa kuishi milele."