sw_1ki_text_ulb/02/41.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 41 \v 42 41 Sulemani alipoambiwa kuwa Shimei alikuwa ametoka Yerusalemu kwenda Gathi na amerudi, 42 mfalme akatuma wito kwa Shimei na kumwambia, "Je, sikukuapisha kwa BWANA na kushuhudia kwako, nikisema, 'Tambua kuwa siku utakayotoka kwenda nje na kwenda mahali popote, hakika utakufa'? Na ukaniambia kuwa unachosema ni chema.'