2 lines
537 B
Plaintext
2 lines
537 B
Plaintext
\v 36 \v 37 \v 38 36 Kisha Mfalme akatuma watu kumwita Shimei, na akamwambia, "Kajijengee nyumba kwa ajili yako kule Yerusalemu na uishi huko, na usitoke nje ya Huo mji na kwenda mahali pengine. 37 Kwa kuwa siku utakayoenda mahali pengine, na kupita bonde la
|
|
Kidroni, ujue kwa hakika kuwa utakufa. Damu yako itakuwa juu ya kichwa chako." 38 Kwa hiyo Shimei akamwambia mfalme, "Unachosema ni chema. Kama vike mfalme bwana wangu alivyosema, ndivyo ambavyo mtumishi wako atakavyofanya." Kwa hiyo Shimei akaishi Yerusalemu kwa miaka mingi. |