1 line
397 B
Plaintext
1 line
397 B
Plaintext
\v 28 \v 29 28 Habari hizo zikamfikia Yoabu, Kwani Yoabu alimuunga mkono Adonia, ingawa hakumuunga mkono Absalomu. Kwa hiyo Yoabu akakimbilia kwenye hema ya BWANA karibu na madhabahu na akabeba pembe za madhabahu. 29 Sulemani alipoambiwa kuwa Yoabu amekimbilia kwenye hema ya BWANA na sasa alikuwa karibu na madhabahu. Ndipo Sulemani alipomtuma Benaya mwana wa Yehoyada, akisema, "Nenda, ukamwue." |