1 line
574 B
Plaintext
1 line
574 B
Plaintext
\v 26 \v 27 \v 28 26 Yule mwanamke mwenye mtoto aliyekuwa hai akamwambia mfalme, kwa kuwa moyo wake ulikuwa na huruma sana kwa mwanae, akasema, "Aa, bwana wangu, mpatie huyu mtoto aliye hai, na usimwue kamwe." Lakini yule mwanamke mwingine akasema, "Hatakuwa wangu wala wako. Mgawe." 27 Ndipo mfalme aliposema, "Mpe yule mwanamke wa kwanza mtoto aliye hai, na kamwe usimwue. Yeye ndiye mama wa mtoto huyu." 28 Israeli wote waliposikia hukumu ambayo mfalme ametoa, walimwogopa mfalme, kwa sababu waliona kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake kwa ajili ya kutoa kuhukumu. |