1 line
496 B
Plaintext
1 line
496 B
Plaintext
\v 18 \v 19 \v 20 18 Ikatokea siku ya tatu baada ya kujifungua na yeye akajifungua. Tulikuwa sisi tu. Hapakuwepo na mtu mwingine yeyote katika nyumba yetu, ila sisi tu wawili katika hiyo nyumba. 19 Kisha mtoto wa mwanamke huyu akafa wakati wa usiku, kwa sababu alimlalia. 20 kwa hiyo akamka wakati huo wa usiku wa manane akamchukua mwanangu toka pembeni yangu, wakati mimi mtumishi wako nilipokuwa usingizini, na akamlaza kwenye kifua chake, na akamlaza mtoto wake aliyekufa juu ya kifua changu. |