sw_1ki_text_ulb/13/18.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 18 \v 19 18 Kwa hiyo yule nabii mzee akamwambia, "Mimi pia ni nabii kama ulivyo, na malaika amesema na mimi neno la BWANA, akisema, 'Mrudishe aje na wewe katika nyumba yako, ili aweze kula chakula na kunywa maji.'" Lakini alikuwa anamdanganya mtu wa Mungu. 19 Kwa hiyo yule mtu wa Mungu akarudi pamoja na yule nabii mzee na akala chakula nyumbani kwake na akanywa maji.