sw_1ki_text_ulb/13/08.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 8 \v 9 \v 10 8 Yule mtu wa Mungu akamwambia mfalme, "Hata kama utanipa nusu ya miliki yako. sitaende na wewe, wala sitakula au kunywa maji mahali hapa, 9 kwa sababu BWANA ameniamuru kwa neno lake, 'hutakula mkate wala kunywa maji, wala kurudi kwa njia ulioijia.'" 10 Kwa hiyo mtu wa Mungu akaondoka na hakurudi nyumbani kwa njia aliyokuja nayo huko Betheli.