1 line
298 B
Plaintext
1 line
298 B
Plaintext
\v 18 \v 19 18 Waliondoka Midiani wakaja Parani, ambapo walichukuliwa na wanaume mpaka Misri, kwa Farao wa Misri, ambaye alimpa nyumba na ardhi yenye chakula. 19 Hadadi alipata neema kubwa machoni pa Farao, kwa hiyo Farao akampatia mke, umbu wa mke wake mwenyewe, umbu la Tapenesi aliyekuwa Malkia. |