sw_1ki_text_ulb/07/38.txt

1 line
394 B
Plaintext

\v 38 \v 39 38 Huramu akatengeneza birika kumi za shaba. Birika moja liliweza kubeba bathi arobaini za maji. Kila birika lilikuwa mita 1.8 toka birika moja hadi jingine na kulikuwa na birika moja katika kila kalio kati ya yale kumi. 39 Alitengeneza makalio tano upande wa kusini unaoelekea upande wa hekalu. Akatengeneza bahari katika upande wa mashariki, ukielekea upande wa kusini wa hekalu.