sw_1ki_text_ulb/07/03.txt

1 line
417 B
Plaintext

\v 3 \v 4 \v 5 3 Paa la ikulu lilikuwa la mwerezi ambalo lilikaa juu ya mihimili. Mihimili hiyo ilikuwa imeshikiliwa na nguzo. Kulikuwa na mihimili arobaini na tano, ambayo ilikuwa katika safu kumi na tano. 4 Nayo mihimili ilikuwa safu tatu, na kila dirisha lilikabili dirisha lingine katika madaraja matatu. 5 Milango yote na miimo ilitengenezwa kwa mraba, na madirisha yalikuwa yakikabiliana katika madaraja matatu.