sw_1ki_text_ulb/05/07.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 7 \v 8 7 Hiramu aliposikia maneno ya Sulemani, akafurahi sana akasema, "BWANA na abarikiwe leo, ambaye amempa Daudi mwana wa hekima juu ya kundi hili kubwa." 8 Hiramu akatuma neno kwa Sulemani, akisema, "Nimeupata ujumbe ule ulionitumia. Nitatoa miti yote ya mierezi na miti ya miberoshi ambayo unahitaji.