1 line
462 B
Plaintext
1 line
462 B
Plaintext
\v 48 \v 49 \v 50 48 Yehoshafati alijenga merikebu ziende Tarshishi na Ofri kuleta dhahabu, lakini hazikusafiri kwa sababu zile merikebu zilivunjika kule Esioni Geberi. Kisha 49 Ahazia mwana wa Ahabu akamwambia Yehoshafati, "Naomba watumishi wangu waende pamoja na watumishi wako merikebuni. "Lakini Yehoshafati hakuruhusu hilo. 50 Yehoshafati akalala na mababu zake na akazikwa pamoja nao katika mji wa Daudi, babu yake; Yoramu mwanawe akawa mfalme mahali pake. |