1 line
365 B
Plaintext
1 line
365 B
Plaintext
\c 11 \v 1 1 Basi mfalme Sulemani aliwapenda wanawake wengi wa kigeni, binti wa Farao na wanawake wa Wamoabu, Waamori, Waedomu, Wasidoni, na Wahiti. Haya na \v 2 2 mataifa ambayo BWANA alikuwa amewaambia Waisraeli kwamba, "Msiwaoe, wala binti zenu kuolewa nao, kwani kwa hakika wataigeuza mioyo yenu ili mfuate miungu yao." Lakini Sulemani aliwapenda wanawake hao. |