1 line
530 B
Plaintext
1 line
530 B
Plaintext
\v 20 Yuda na Israeli walikuwa wengi kama mchanga wa baharini, nao walikuwa wakila na kunywa na kufurahi. \v 21 Sulemani alitawala utawala wote kutoka mtoni hadi kwenye nchi ya Wafilisti na hadi kwenye mpaka wa Misri. Wote walileta kodi na walimtumikia Sulemani katika siku za maisha yake yote. \v 22 Vyakula vya Sulemani kwa siku moja yalikuwa ni Kori thelathini za unga mzuri na kori unga wa ngano, \v 23 makisai kumi walionona, na fahari ishirini wa malisho, na kondoo mia moja, nje ya ayala, paa, na kulungu na kuku walionona. |