sw_1ki_text_ulb/04/01.txt

1 line
328 B
Plaintext

\c 4 \v 1 Mfalme Sulemani alikuwa mfalme wa Israeli. \v 2 Hawa ndio waliokuwa wakuu wake: Azaria mwana wa Sadoki alikuwa kuhani. \v 3 Elihorefu na Ahiya mwana wa Shisha, walikuwa makatibu. Yehoshafati mwana wa Ahilui alikuwa mwandishi. \v 4 Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa mkuu wa jeshi. Sadoki na Abiatahari walikuwa makuhani.