1 line
487 B
Plaintext
1 line
487 B
Plaintext
\v 18 Ikatokea siku ya tatu baada ya kujifungua na yeye akajifungua. Tulikuwa sisi tu. Hapakuwepo na mtu mwingine yeyote katika nyumba yetu, ila sisi tu wawili katika hiyo nyumba. \v 19 Kisha mtoto wa mwanamke huyu akafa wakati wa usiku, kwa sababu alimlalia. \v 20 Kwa hiyo akaamka wakati huo wa usiku wa manane akamchukua mwanangu toka pembeni yangu, wakati mimi mtumishi wako nilipokuwa usingizini, na akamlaza kwenye kifua chake, na akamlaza mtoto wake aliyekufa juu ya kifua changu. |