sw_1ki_text_ulb/03/10.txt

1 line
451 B
Plaintext

\v 10 Ombi hili la Sulemani likampendeza Bwana. \v 11 Kwa hiyo Mungu akamwambia. "Kwa sababu umeomba jambo hili na haujajiombea maisha marefu au utajiri au uhai wa maadui wako, lakini umeomba ufahamu wa kutambua hukumu ya haki, \v 12 tazama sasa nitafanya yote uliyoniomba wakati uliponipa ombi lako. Ninakupa moyo wa hekima na ufahamu, kwa kuwa hapajawahi kuwa na mtu wa kuwa kama wewe kabla yako, na hakuna wa kuwa kama wewe atakayeinuka baada yako.