sw_1ki_text_ulb/01/49.txt

1 line
410 B
Plaintext

\v 49 Ndipo wageni wote wa Adonia walipoogopa sana. Wakasimama na kila mtu akaenda njia yake. \v 50 Pia Adonia alimwogopa Sulemani na akasimama, na akaondoka, akachukua pembe la madhabahuni. \v 51 Kisha Sulemani akaambiwa hilo, wakasema, "Tazama, Adonia amemwogopa mfalme Sulemani, kwa kuwa ameshikilia pembe la madhabahuni, akisema, 'Mfalme Sulemani na aniapie kwanza kuwa hatamwua mtumishi wake kwa upanga.'"