1 line
277 B
Plaintext
1 line
277 B
Plaintext
\v 20 Mfalme Bwana wangu, macho yote ya Israeli yako kwako, yakisubiri usemi wako juu ya nani atakayeti kwenye kiti cha enzi baada yako, Bwana wangu. \v 21 Vinginevyo itatokea, wakati Bwana wangu atakapolala na baba zake, kwamba mimi na mwanangu Sulemani tutahesabiwa wahaini." |