1 line
425 B
Plaintext
1 line
425 B
Plaintext
\v 15 Kwa hiyo Bathsheba akaingia chumbani kwa mfalme. Wakati huo mfalme alikuwa mzee sana, na Abishagi Mshunami alikuwa akimtunza mfalme. \v 16 Bathsheba akainama kifudifudi mbele ya mfalme. Na kisha mfalme akasema, "Una haja gani?" \v 17 Naye akamwambia, "Bwana wangu, ulimwapia mtumishi wako kwa jina la Bwana, Mungu wako, ukisema, 'Hakika Sulemani mwanao atatawala, baada yangu, naye ataketi kwenye kiti changu cha enzi.' |