1 line
449 B
Plaintext
1 line
449 B
Plaintext
\v 21 \v 22 21 Asubuhi nilipoamka ili kumhudumia mwanangu, nikaona kuwa alikuwa amekufa. Lakini nilipomwangalia kwa makini wakati huo wa asubuhi, nikagundua kuwa hakuwa yule mwanangu niliyezaa," 22 Yule mwanamke mwingine akasema, "Hapana, Huyu aliye hai ndiye wangu, na yule aliyekufa ndiye wako." Yule mwanamke wa kwanza akasema, "Hapana, Yule mtoto aliyekufa ndiye mwanao, na huyu aliye hai ndiye wangu." Hivi ndivyo walivyoongea mbele ya mfalme. |