1 line
378 B
Plaintext
1 line
378 B
Plaintext
\v 6 Mfalme Yeroboamu akajibu akimwambia mtu wa Mungu, "Msihi BWANA, Mungu wako akupe neema ili uniombee, ili kwamba mkono wangu urejee kwangu tena." Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwomba BWANA, na mkono wa mfalme ukarejea katika hali yake tena, na ukawa kama ulivyokuwa mwanzoni. \v 7 Yule mfalme akamwambia mtu wa Mungu, "Twende nyumbani kwangu upate chakula, nami nitakupa zawadi." |