Mon Apr 24 2023 14:22:15 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 14:22:17 +03:00
parent 488680b78c
commit eeecd015c1
2 changed files with 2 additions and 0 deletions

1
11/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 \v 15 \v 16 \v 17 14 Kisha BWANA akamwinulia uadui Sulemani, Hadadi Mwedomu. Alikuwa anatoka kwenye familia ya mfalme wa Edomu. 15 Daudi alipokuwa Edomu, Yoabu mkuu wa jeshi alikuwa ameenda kuzika mfu, kila mtu aliyekuwa ameuawa kule Edomu. 16 Yoabu na Israeli yote walibaki huko kwa miezi sita mpaka alipokuwa amewaua wanaume wote wa Edomu. 17 Lakini Hadadi alichukuliwa na Waedomu wengine na watumishi wa baba yake hadi Misri, kuanzia Hadadi alipokuwa mtoto mdogo.

1
11/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 \v 19 18 Waliondoka Midiani wakaja Parani, ambapo walichukuliwa na wanaume mpaka Misri, kwa Farao wa Misri, ambaye alimpa nyumba na ardhi yenye chakula. 19 Hadadi alipata neema kubwa machoni pa Farao, kwa hiyo Farao akampatia mke, umbu wa mke wake mwenyewe, umbu la Tapenesi aliyekuwa Malkia.