Fri Apr 28 2023 08:25:35 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
8cad111730
commit
e9d89762e2
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 31 31 Yeroboamu akajenga nyumba mahali pa juu na kufanya makuhani kutoka kwa watu wote, ambao hawakuwa wana wa Lawi. \v 32 32 Yeroboamu akafanya sikukuu katika mwezi wa nane, katika siku ya kumi na tano ya mwezi, kama sikukuu ambayo iko Yuda, na akaenda juu kwenye madhabahu. Akafanya hivyo kule Betheli, akawatolea sadaka wale ndama aliokuwa amewatengeneza, na akaweka kuhani huko Betheli mahali pa juu alipokuwa amepatengeneza.
|
||||
\v 31 Yeroboamu akajenga nyumba mahali pa juu na kufanya makuhani kutoka kwa watu wote, ambao hawakuwa wana wa Lawi. \v 32 Yeroboamu akafanya sikukuu katika mwezi wa nane, katika siku ya kumi na tano ya mwezi, kama sikukuu ambayo iko Yuda, na akaenda juu kwenye madhabahu. Akafanya hivyo kule Betheli, akawatolea sadaka wale ndama aliokuwa amewatengeneza, na akaweka kuhani huko Betheli mahali pa juu alipokuwa amepatengeneza.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 33 33 Yeroboamu akapanda kwenda kwenye madhabahu ambayo aliitengeneza kule Betheli katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa nane, ndio mwezi aliokuwa amefikiri katika akili yake; akafanya sikukuu kwa watu wa Israeli n a akaenda madhabahuni kufukiza uvumba.
|
||||
\v 33 Yeroboamu akapanda kwenda kwenye madhabahu ambayo aliitengeneza kule Betheli katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa nane, ndio mwezi aliokuwa amefikiri katika akili yake; akafanya sikukuu kwa watu wa Israeli n a akaenda madhabahuni kufukiza uvumba.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 13 \v 1 1 Mtu wa Mungu alikuja tokea Yuda kwa neno la BWANA kule Betheli. Naye Yeroboamu alikuwa amesimama karibu na madhabahu ili kufukiza uvumba. \v 2 2 Akalia kinyume na zile madhabahu kwa neno la BWANA: "Ee madhabahu, madhabahu" hivi ndivyo asemavyo BWANA, 'Tazama, mwana aitwaye Yosia atazaliwa katika familia ya Daudi, na juu yenu atawachinja makuhani ambao sasa wanafukiza uvumba mahali hapa pa juu kwa ajili yako. Juu yako watachoma mifupa ya watu.'" \v 3 3 Kisha mtu wa Mungu akatoa ishara siku hiyohiyo, akisema, "Hii ndiyo ishara ya kwamba BWANA amesema: 'Tazama, madhabahu zitavunjika, na majivu yaliyo juu yatamwagika."
|
||||
\c 13 \v 1 Mtu wa Mungu alikuja tokea Yuda kwa neno la BWANA kule Betheli. Naye Yeroboamu alikuwa amesimama karibu na madhabahu ili kufukiza uvumba. \v 2 Akalia kinyume na zile madhabahu kwa neno la BWANA: "Ee madhabahu, madhabahu" hivi ndivyo asemavyo BWANA, 'Tazama, mwana aitwaye Yosia atazaliwa katika familia ya Daudi, na juu yenu atawachinja makuhani ambao sasa wanafukiza uvumba mahali hapa pa juu kwa ajili yako. Juu yako watachoma mifupa ya watu.'" \v 3 Kisha mtu wa Mungu akatoa ishara siku hiyohiyo, akisema, "Hii ndiyo ishara ya kwamba BWANA amesema: 'Tazama, madhabahu zitavunjika, na majivu yaliyo juu yatamwagika."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 4 4 Naye mfalme aliposikia kile mtu wa Mungu alichosema, kwamba amelia kinyume cha zile madhabahu kule Betheli, Yeroboamu akanyosha mkono wake kutoka madhabahuni, akisema, "mkamateni." Ndipo ule mkono aliokuwa ameunyosha dhidi ya mtu wa Mungu ukakauka, kiasi kwamba hakuweza kuurudisha mwenyewe. \v 5 5 Na ile madhabahu ikavunjika vipande vipande, na yale majivu yakamwagika kutoka madhabahuni, kama ilivyokuwa imefafanuliwa kuwa ndiyo ishara ya kwamba mtu wa Mungu alikuwa amepewa kwa neno la BWANA.
|
||||
\v 4 Naye mfalme aliposikia kile mtu wa Mungu alichosema, kwamba amelia kinyume cha zile madhabahu kule Betheli, Yeroboamu akanyosha mkono wake kutoka madhabahuni, akisema, "mkamateni." Ndipo ule mkono aliokuwa ameunyosha dhidi ya mtu wa Mungu ukakauka, kiasi kwamba hakuweza kuurudisha mwenyewe. \v 5 Na ile madhabahu ikavunjika vipande vipande, na yale majivu yakamwagika kutoka madhabahuni, kama ilivyokuwa imefafanuliwa kuwa ndiyo ishara ya kwamba mtu wa Mungu alikuwa amepewa kwa neno la BWANA.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 6 6 Mfalme Yeroboamu akajibu akimwambia mtu wa Mungu, "Msihi BWANA, Mungu wako akupe neema ili uniombee, ili kwamba mkono wangu urejee kwangu tena." Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwomba BWANA, na mkono wa mfalme ukarejea katika hali yake tena, na ukawa kama ulivyokuwa mwanzoni. \v 7 7 Yule mfalme akamwambia mtu wa Mungu, "twende nyumbani kwangu upate chakula, nami nitakupa zawadi."
|
||||
\v 6 Mfalme Yeroboamu akajibu akimwambia mtu wa Mungu, "Msihi BWANA, Mungu wako akupe neema ili uniombee, ili kwamba mkono wangu urejee kwangu tena." Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwomba BWANA, na mkono wa mfalme ukarejea katika hali yake tena, na ukawa kama ulivyokuwa mwanzoni. \v 7 Yule mfalme akamwambia mtu wa Mungu, "twende nyumbani kwangu upate chakula, nami nitakupa zawadi."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 8 8 Yule mtu wa Mungu akamwambia mfalme, "Hata kama utanipa nusu ya miliki yako. sitaende na wewe, wala sitakula au kunywa maji mahali hapa, \v 9 9 kwa sababu BWANA ameniamuru kwa neno lake, 'hutakula mkate wala kunywa maji, wala kurudi kwa njia ulioijia.'" \v 10 10 Kwa hiyo mtu wa Mungu akaondoka na hakurudi nyumbani kwa njia aliyokuja nayo huko Betheli.
|
||||
\v 8 Yule mtu wa Mungu akamwambia mfalme, "Hata kama utanipa nusu ya miliki yako. sitaende na wewe, wala sitakula au kunywa maji mahali hapa, \v 9 kwa sababu BWANA ameniamuru kwa neno lake, 'hutakula mkate wala kunywa maji, wala kurudi kwa njia ulioijia.'" \v 10 Kwa hiyo mtu wa Mungu akaondoka na hakurudi nyumbani kwa njia aliyokuja nayo huko Betheli.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 11 11 Sasa kulikuwa na nabii mwingine mzee aliyekuwa akiishi Betheli, na mmoja wa wana wake akaja kumwambia mambo yote ambayo mtu wa Mungu amefanya siku hiyo kule Betheli. Wana wake wakamwambia pia maneno ambayo Yule mtu wa Mungu alimwambia mfalme. \v 12 12 Baba yao akawaambia, "Alienda kwa njia gani?" Wale wanawe walikuwa wamemwona yule mtu wa Mungu kutoka Yuda njia aliyotumia kurudi. \v 13 13 Kwa hiyo akawaambia wanawe, "Nitandikeni punda." Kwa hiyo wakamtandikia punda naye akampanda.
|
||||
\v 11 Sasa kulikuwa na nabii mwingine mzee aliyekuwa akiishi Betheli, na mmoja wa wana wake akaja kumwambia mambo yote ambayo mtu wa Mungu amefanya siku hiyo kule Betheli. Wana wake wakamwambia pia maneno ambayo Yule mtu wa Mungu alimwambia mfalme. \v 12 Baba yao akawaambia, "Alienda kwa njia gani?" Wale wanawe walikuwa wamemwona yule mtu wa Mungu kutoka Yuda njia aliyotumia kurudi. \v 13 Kwa hiyo akawaambia wanawe, "Nitandikeni punda." Kwa hiyo wakamtandikia punda naye akampanda.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 14 14 Yule nabii mzee akamfuata yule mtu wa Mungu na akamkuta amekaa chini ya mti wa mwaloni; akamwambia, "Je, wewe ndiye mtu wa Mungu aliyetoka Yuda?" Naye akamjibu, "Mimi ndiye." \v 15 15 Kisha yule nabii mzee akamwambia, "twende nyumbani kwangu ukale chakula." \v 16 16 Yule mtu wa Mungu akamjibu, "Siwezi kurudi na wewe wala kuingia ndani na wewe, tena sitakula chakula wala kunywa maji pamoja na wewe mahali hapa, \v 17 17 kwa sababu niliamuriwa hivyo kwa neno la BWANA, 'Hautakula chakula wala kunywa maji kule, wala kurudi kwa njia utakayokuja nayo.'"
|
||||
\v 14 Yule nabii mzee akamfuata yule mtu wa Mungu na akamkuta amekaa chini ya mti wa mwaloni; akamwambia, "Je, wewe ndiye mtu wa Mungu aliyetoka Yuda?" Naye akamjibu, "Mimi ndiye." \v 15 15 Kisha yule nabii mzee akamwambia, "twende nyumbani kwangu ukale chakula." \v 16 16 Yule mtu wa Mungu akamjibu, "Siwezi kurudi na wewe wala kuingia ndani na wewe, tena sitakula chakula wala kunywa maji pamoja na wewe mahali hapa, \v 17 17 kwa sababu niliamuriwa hivyo kwa neno la BWANA, 'Hautakula chakula wala kunywa maji kule, wala kurudi kwa njia utakayokuja nayo.'"
|
Loading…
Reference in New Issue