diff --git a/13/18.txt b/13/18.txt new file mode 100644 index 0000000..b07b7b2 --- /dev/null +++ b/13/18.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 18 \v 19 18 Kwa hiyo yule nabii mzee akamwambia, "Mimi pia ni nabii kama ulivyo, na malaika amesema na mimi neno la BWANA, akisema, 'Mrudishe aje na wewe katika nyumba yako, ili aweze kula chakula na kunywa maji.'" Lakini alikuwa anamdanganya mtu wa Mungu. 19 Kwa hiyo yule mtu wa Mungu akarudi pamoja na yule nabii mzee na akala chakula nyumbani kwake na akanywa maji. \ No newline at end of file diff --git a/13/20.txt b/13/20.txt new file mode 100644 index 0000000..f51ebb7 --- /dev/null +++ b/13/20.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 20 \v 21 \v 22 20 Walipokuwa wamekaa mezani, neno la BWANA likamjia yule nabii aliyemrudisha, 21 naye akalia kwa mtu wa Mungu aliyetoka Yuda, akisema "BWANA anasema, 'Kwa kuwa umeshindwa kutii neno la BWANA na umeshindwa kuishika amri ya BWANA ambayo Mungu wako alikupa, 22 bali umerudi na umekula chakula na kunywa maji mahali ambapo BWANA alikwambia usile chakula wala kunywa maji, basi mwili wako hautazikwa kwenye makaburi ya baba zako.'" \ No newline at end of file diff --git a/13/23.txt b/13/23.txt new file mode 100644 index 0000000..60a2e8f --- /dev/null +++ b/13/23.txt @@ -0,0 +1 @@ +23 Baada ya kula chakula na kunywa maji, Yule nabii akatandika punda wa mtu wa Mungu, yule mtu aliyerudi naye. 24 Baada ya mtu wa Mungu kuondoka, akakutana na simba njiani na kumwua barabarani, na mwili wake uliachwa barabarani. Na yule punda akasimama pembeni yake, na yule simba naye akasimama pembeni ya ule mwili. 25 Watu walipopita na kuuona ule mwili umeachwa barabarani, na yule simba akisimama karibu na ule mwili, walikuja wakaeleza habari hiyo mjini kule ambako yule nabii mzee aliishi. \ No newline at end of file