Mon Apr 24 2023 13:26:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 13:26:07 +03:00
parent 3acafc9c91
commit d37ef5f4d2
3 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
07/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 \v 12 11 Kwa juu ilipambwa kwa, mawe ya thamani yaliyochongwa sawa sawa kwa msimeno na kwa mihimili ya mierezi. 12 Na behewa kubwa iliyokuwa ikizunguka ikulu ilikuwa na safu tatu za mawe yaliyokatwa na safu moja ya mihimili ya mierezi kama ilivyo kwenye baraza la ndani la hekalu la BWANA na ule ukumbi wa hekalu.

1
07/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 \v 14 13 Mfalme Sulemani alituma watu kumleta Huramu kutoka Tiro. 14 Huramu alikuwa mwana wa mjane wa kabila ya Naftali; baba yake alikuwa mtu wa Tiro, mfua shaba. Huramu alikuwa mwingi wa hekima na ufahamu na stadi za kufanya kazi kubwa za shaba. Aliletwa kwa mfalme ili kufanya kazi zilizohusiana na shaba kwa mfalme.

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 \v 16 \v 17 15 Huramu alizilemba zile nguzo mbili za shaba, kila moja ilikuwa na kimo cha mita 8.3 na mzingo wa mita 5.5. 16 Akatengeneza taji mbili za shaba za kuwekwa juu ya zile nguzo. Kimo cha kila taji ilikuwa mita 2.3. 17 Kulikuwa na nyavu za kuwa kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa ajili ya kuvipamba vile vichwa vya nguzo, nayo yalikuwa saba kwa kila kichwa.