Mon Apr 24 2023 12:48:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 12:48:06 +03:00
parent 0a25e3fbb8
commit b30946d9d0
4 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
06/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 \v 6 5 Na ukuta wa nyumba aliuzungushia vyumba kuzunguka pande zake, kushikamana na vyumba vya nje na vya ndani ya hekalu. Akajenga vyumba katika pande zote. 6 Kile chumba cha chini kilikuwa na upana wa mita 2. 3, kile cha kati kilikuwa na upana wa mita 2. 8. na kile cha tatu kilikuwa na upana wa mita 3. 2. upande wa nje akaupunguza ukuta wa nyumba pande zote, ili boriti zisishikamane ukutani mwa nyumba.

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 \v 8 7 Hekalu lilijengwa kwa mawe yaliyokuwa yamechongwa chimboni. Hakuna nyundo, wala shoka au chombo chochote cha chuma kilisikika wakati hekalu lilipokuwa likijengwa. 8 Upande wa kusini wa hekalu kulikuwa na lango la chini, ambalo mtu hupanda kwa madaraja mpaka juu kwenye chumba cha kati, na kutoka chumba cha kati hadi chumba cha tatu.

1
06/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 \v 10 9 Kwa hiyo Sulemani akalijenga hekalu mpaka akalimaliza, akalifunika hekalu kwa boriti na mbao za mwerezi. 10 Akajenga vyumba vya pembeni mwa hekalu, kila upande mita 2. 3 kwenda juu. Navyo vikaunganishwa na hekalu kwa mbao za mierezi.

1
06/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 \v 12 \v 13 11 Neno la BWANA likamjia Sulemani, likisema, 12 "Kuhusu hili hekalu ambalo unajenga, kama utatembea katika maagizo yangu na kuhukumu kwa haki, na kutunza amri zangu na kuishi kwa hizo, ndipo nitakapozithibitisha ahadi zangu na wewe ambazo niliziahidi kwa baba yako Daudi. 13 Nitaishi kati ya watu wa Israeli nami sitawatupa."