Fri Apr 28 2023 11:07:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-28 11:07:39 +03:00
parent f2bdf5b37d
commit ab045a7b7c
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 48 Yehoshafati alijenga merikebu ziende Tarshishi na Ofri kuleta dhahabu, lakini hazikusafiri kwa sababu zile merikebu zilivunjika kule Esioni Geberi. Kisha \v 49 Ahazia mwana wa Ahabu akamwambia Yehoshafati, "Naomba watumishi wangu waende pamoja na watumishi wako merikebuni."Lakini Yehoshafati hakuruhusu hilo. \v 50 Yehoshafati akalala na mababu zake na akazikwa pamoja nao katika mji wa Daudi, babu yake; Yoramu mwanawe akawa mfalme mahali pake.
\v 48 Yehoshafati alijenga merikebu ziende Tarshishi na Ofri kuleta dhahabu, lakini hazikusafiri kwa sababu zile merikebu zilivunjika kule Esioni Geberi. Kisha \v 49 Ahazia mwana wa Ahabu akamwambia Yehoshafati, "Naomba watumishi wangu waende pamoja na watumishi wako merikebuni." Lakini Yehoshafati hakuruhusu hilo. \v 50 Yehoshafati akalala na mababu zake na akazikwa pamoja nao katika mji wa Daudi, babu yake; Yoramu mwanawe akawa mfalme mahali pake.