Mon Apr 24 2023 13:50:08 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 13:50:09 +03:00
parent 9faa40596a
commit aa29bce416
4 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
08/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 \v 34 33 Watu wako Israeli watakapopigwa na adui kwa sababu ya kutenda dhambi dhidi yako, na kama watakurudia, na kulikiri jina lako, na kukusihi, na kuomba msamaha kwako katika hekalu hili, 34 tafadhali nakuomba usikie kutoka mbinguni na usamehe dhambi za watu wako Israeli; uwarudishe katika nchi ambayo uliwapa mababu zao.

1
08/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 \v 36 35 Kama mbingu zitafungwa na mvua hazinyeshi kwa sababu watu wamekutenda dhambi wewe na kama wataomba mahali hapa, na kulikiri jina lako, na kugeuka toka dhambi zao na kama umewapiga , 36 basi sikia tokea mbinguni na usamehe dhambi za watumishi wako na za watu wako Israeli, utakapowafundisha njia njema inayowapasa; basi uinyeshee mvua nchi yako, ambayo uliwapa watu wako kuwa urithi.

1
08/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 \v 38 37 Na kama kuna njaa katika nchi, au kama kuna magonjwa, au ukungu, nzige au funza; au kama adui atavamia malango ya mji katika nchi yao, kama kuna tauni au magonjwa yeyote , 38 na kama kuna mtu au watu wa Israeli wataomba kila mmoja akaijua hiyo tauni katika moyo wake wakati akinyosha mikono yake katika hekalu hili.

1
08/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
39 Basi usikie kutoka mbinguni, mahali unapoishi, utende na kusamehe, na umpe kila mtu thawabu anayostahili kwa kile anachofanya; wewe unajua moyo wake, kwa sababu ni wewe pekee yako ujuaye mioyo ya watu. 40 Fanya hivi ili kwamba wawe na hofu kwako katika siku zote za maisha yao wanayoishi katika nchi uliyowapa mababu zetu.