Mon Apr 24 2023 12:28:07 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
c989bdda6f
commit
8c4279c9e4
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 3 \v 1 \v 2 \v 3 1 Sulemani akawa na ushirikiano wa kindoa na Farao mfalme wa Misri. Alimwoa binti wa Farao na kumleta katika mji wa Daudi mpaka alipomaliza kujenga nyumba yake, nyumba ya BWANA, na ukuta wa Yerusalemu. 2 Watu walikuwa wakitoa sadaka kwenye maeneo ya juu, kwa sababu hapakuwa bado na nyumba iliyokuwa imejengwa kwa jina la BWANA. 3 Sulemani alionyesha upendo wake kwa BWANA kwa kutembea katika maagizo ya Daudi baba yake, isipokuwa tu alitoa dhabihu na kuchoma uvumba mahali pa juu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Mfalme akaenda Gibioni kutoa sadaka kule, kwa kuwa hilo ndilo lilikuwa eneo kuu la juu. Sulemani akatoa sadaka maelfu katika madhabahu hiyo. 5 BWANA akaonekana kwa Sulemani huko Gibioni katika ndoto ya usiku; akasema, "Omba! unataka nikupe nini?"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 6 Kwa hiyo Sulemani akasema, "umeonyesha uaminifu wa agano mkuu kwa mtumishi wako, Daudi baba yangu, kwa sababu alitembea mbele yako kwa ukweli na uaminifu, katika haki ya moyo na katika unyofu wa moyo. Umetunza kwa ajili yake hili agano kuu kwa uaminifu na umempa mwana wake kuketi kwenye kiti chake cha enzi leo.
|
Loading…
Reference in New Issue