Mon Apr 24 2023 16:22:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 16:22:39 +03:00
parent ba64c9e4fe
commit 89861959a8
5 changed files with 6 additions and 1 deletions

View File

@ -1,2 +1,2 @@
7 Kwa mambo mengine ya Abiya, yote aliyofanya, je, hayajaandikwa katika kitabu cha matukio
\v 7 \v 8 7 Kwa mambo mengine ya Abiya, yote aliyofanya, je, hayajaandikwa katika kitabu cha matukio
ya wafalme wa Yuda? Sasa kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu. 8 Abiya akalala na mababu zake, nao wakamzika katika mji wa Daudi. Asa mwanae akawa mfalme mahali pake.

1
15/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 \v 10 \v 11 9 Katika mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akaanza kutawala Yuda. 10 Alitawala kwa miaka arobaini na moja kule Yerusalemu. Bibi yake alikuwa Maaka, binti wa Absalomu. 11 Asa akafanya yaliyo mema machoni mwa BWANA, kama alivyofanya Daudi, babu yake.

1
15/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 \v 13 12 Yeye aliwafukuza kutoka katika nchi wale makahaba wa kipagani na akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wametengeneza. 13 Pia alimwondoa bibi yake asiwe Malkia, kwa sababu alikuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera. Asa aliikata sanamu ya kuchukiza na kuiteketeza katika Bonde la Kidroni.

1
15/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 \v 15 14 Lakini pale mahali pa juu hapakuchukuliwa. Hata hivyo. Moyo wa Asa ulikuwa mkamilifu mbele ya BWANA katika siku zake zote. 15 Alivirerejesha katika nyumba ya BWANA vitu vile vilivyokuwa vimetengwa kwa ajili ya BWANA, na vile vitu vyake vilivyokuwa vimetengenezwa kwa fedha, na dhahabu na vyombo.

2
15/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 16 \v 17 16 Basi kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli, kwa miaka yao yote. 17
Baasha mfalme wa Israeli, akaivamia na kuijenga Rama, kiasi kwamba hakumruhusu yeyote kuondoka au kuingia katika nchi ya Asa mfalme wa Yuda.