Mon Apr 24 2023 16:06:31 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
16f007e672
commit
65dcbc6d83
|
@ -1 +1 @@
|
|||
29 Yule nabii akauchukua ule mwili wa mtu wa Mungu, akaulaza juu ya punda, na akaurudisha. Akaja kwenye mji wake kuomboleza na kuuzika. 30 Akaulaza mwili kwenye kaburi lake, nao wakamwombolezea, wakisema, "Aa! ndugu yangu!"
|
||||
\v 29 \v 30 29 Yule nabii akauchukua ule mwili wa mtu wa Mungu, akaulaza juu ya punda, na akaurudisha. Akaja kwenye mji wake kuomboleza na kuuzika. 30 Akaulaza mwili kwenye kaburi lake, nao wakamwombolezea, wakisema, "Aa! ndugu yangu!"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 \v 32 31 Kisha baada ya kumzika, yule nabii mzee akawaambia wanawe, akasema, "Nitakapokufa, mtanizika kwenye kaburi ambalo tumemzika mtu wa Mungu. Mtalaza mifupa yangu pembeni mwa mifupa yake. 32 Kwa kuwa ule ujumbe uliosemwa na BWANA, dhidi ya madhabahu kule Betheli na dhidi ya nyumba zote za mahali pa juu katika mji wa Samaria, hakika yatatokea.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 33 \v 34 33 Baada ya haya Yeroboamu hakuuacha uovu wake, aliendelea kuchagua makuhani wa kawaida kwa ajili ya mahali pa juu kutoka kwa watu wa kila aina. Yeyote ambaye angeweza kutumika alimtakasa kuwa kuhani. 34 Jambo hili likawa dhambi kwenye familia ya Yeroboamu na kusababisha familia yake kuangamizwa na kuondolewa kabisa katika uso wa dunia.
|
Loading…
Reference in New Issue