Mon Apr 24 2023 12:16:05 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
d00da83e1b
commit
50f3f6017a
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 52 \v 53 52 Sulemani akasema, "Kama atajionyesha kuwa ni mtu wa kweli, hakuna hata unywele mmoja utakaoanguka duniani, bali kama uovu utaonekana kwake, atakufa." 53 Kwa hiyo mfalme Sulemani akatuma watu, waliomleta Adonia kutoka madhabahuni. Naye akaja akapiga magoti kwa Sulemani, na Sulemani akamwambia, "Nenda nyumbani kwako."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 2 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Daudi alipokaribia kufa, alimwamuru Sulemani mwanae, akisema, 2 "Mimi sasa ninaiendea njia ya dunia yote. Kwa hiyo, uwe imara, na ujionyeshe mwenyewe kama mwanamume. Uzilinde amri za BWANA, Mungu wako ukitembea katika njia zake, utii maaagizo yake, amari zake, 3 maamuzi yake, na maagizo ya maagano yake, uwe mwangalifu kufanya yale yaliyoandikwa katika sheria za Musa, ili ufanikiwe katika yote utakayoyafanya, popote kule utakakokuwa, 4 na BWANA atayatimiza maneno yake aliyosema kuhusu mimi, aliposema, 'kama wanao watajilinda katika tabia zao, wakatembea mbele yangu kwa uaminifu kwa mioyo yao yote na kwa roho zao zote, hawatakoma kuwa na mtu aliyeketi katika kiti cha enzi cha Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 \v 6 5 Wewe pia wajua kile Yoabu mwana wa Seruya alichonifanyia, na kile alichowafanyia majemedari wa majeshi ya Israeli, kwa Abina mwana wa Neri, na kwa Amasa mwana wa Yetheri, ambaye alimwua. Alimwaga damu vitani wakati wa amani na kuiweka ile damu kwenye mshipi uliokuwa kiunoni mwake na kwenye vile viatu miguuni mwake. 6 Mshughulikie Yoabu kwa hekima ambayo umejifunza, lakini usiache mvi zake ziingie kaburini kwa amani.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 7 Hata hivyo, uonyeshe utu kwa wana wa Barizilai Mgileadi, na uwaache wawe miongoni mwa wale wanaokula mezani kwako, kwa kuwa walikuja kwangu wakati nilipomkimbia ndugu yangu Absalomu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 2
|
|
@ -36,6 +36,7 @@
|
|||
"nicholuskombo"
|
||||
],
|
||||
"finished_chunks": [
|
||||
"front-title"
|
||||
"front-title",
|
||||
"02-title"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue