Mon Apr 24 2023 15:58:29 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
135fde9223
commit
4d4afe3721
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 13 1 Mtu wa Mungu alikuja tokea Yuda kwa neno la BWANA kule Betheli. Naye Yeroboamu alikuwa amesimama karibu na madhabahu ili kufukiza uvumba. 2 Akalia kinyume na zile madhabahu kwa neno la BWANA: "Ee madhabahu, madhabahu" hivi ndivyo asemavyo BWANA, 'Tazama, mwana aitwaye Yosia atazaliwa katika familia ya Daudi, na juu yenu atawachinja makuhani ambao sasa wanafukiza uvumba mahali hapa pa juu kwa ajili yako. Juu yako watachoma mifupa ya watu.'" 3 Kisha mtu wa Mungu akatoa ishara siku hiyohiyo, akisema, "Hii ndiyo ishara ya kwamba BWANA amesema: 'Tazama, madhabahu zitavunjika, na majivu yaliyo juu yatamwagika."
|
||||
\c 13 \v 1 \v 2 \v 3 1 Mtu wa Mungu alikuja tokea Yuda kwa neno la BWANA kule Betheli. Naye Yeroboamu alikuwa amesimama karibu na madhabahu ili kufukiza uvumba. 2 Akalia kinyume na zile madhabahu kwa neno la BWANA: "Ee madhabahu, madhabahu" hivi ndivyo asemavyo BWANA, 'Tazama, mwana aitwaye Yosia atazaliwa katika familia ya Daudi, na juu yenu atawachinja makuhani ambao sasa wanafukiza uvumba mahali hapa pa juu kwa ajili yako. Juu yako watachoma mifupa ya watu.'" 3 Kisha mtu wa Mungu akatoa ishara siku hiyohiyo, akisema, "Hii ndiyo ishara ya kwamba BWANA amesema: 'Tazama, madhabahu zitavunjika, na majivu yaliyo juu yatamwagika."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Naye mfalme aliposikia kile mtu wa Mungu alichosema, kwamba amelia kinyume cha zile madhabahu kule Betheli, Yeroboamu akanyosha mkono wake kutoka madhabahuni, akisema, "mkamateni." Ndipo ule mkono aliokuwa ameunyosha dhidi ya mtu wa Mungu ukakauka, kiasi kwamba hakuweza kuurudisha mwenyewe. 5 Na ile madhabahu ikavunjika vipande vipande, na yale majivu yakamwagika kutoka madhabahuni, kama ilivyokuwa imefafanuliwa kuwa ndiyo ishara ya kwamba mtu wa Mungu alikuwa amepewa kwa neno la BWANA.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 6 Mfalme Yeroboamu akajibu akimwambia mtu wa Mungu, "Msihi BWANA, Mungu wako akupe neema ili uniombee, ili kwamba mkono wangu urejee kwangu tena." Kwa hiyo mtu wa Mungu akamwomba BWANA, na mkono wa mfalme ukarejea katika hali yake tena, na ukawa kama ulivyokuwa mwanzoni. 7 Yule mfalme akamwambia mtu wa Mungu, "twende nyumbani kwangu upate chakula, nami nitakupa zawadi."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 \v 9 \v 10 8 Yule mtu wa Mungu akamwambia mfalme, "Hata kama utanipa nusu ya miliki yako. sitaende na wewe, wala sitakula au kunywa maji mahali hapa, 9 kwa sababu BWANA ameniamuru kwa neno lake, 'hutakula mkate wala kunywa maji, wala kurudi kwa njia ulioijia.'" 10 Kwa hiyo mtu wa Mungu akaondoka na hakurudi nyumbani kwa njia aliyokuja nayo huko Betheli.
|
Loading…
Reference in New Issue