Fri Apr 28 2023 09:11:37 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-28 09:11:38 +03:00
parent 4493c30a85
commit 4b5ab6c09a
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 34 Hata hivyo Sitauchukua ufalme wote toka kwenye mkono wa Sulemani. Badala yake, nimemfanya kuwa mtawala katika siku zake zote za uhai wake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu ambaye nilimchagua, mtu ambaye alizishika amri na maagizo yangu. \v 35 Bali nitauchukua ufalme ukiwa chini ya mkono wa mwanae na nitakupa wewe, makabila kumi. \v 36 Nitampa kabila moja mwana wa Sulemani ili kwamba Daudi mtumishi wangu atabaki kuwa nuru mbele yangu huko Yerusalemu, mji ambao nimeuchagua ili niweke jina langu.
\v 34 Hata hivyo sitauchukua ufalme wote toka kwenye mkono wa Sulemani. Badala yake, nimemfanya kuwa mtawala katika siku zake zote za uhai wake, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu ambaye nilimchagua, mtu ambaye alizishika amri na maagizo yangu. \v 35 Bali nitauchukua ufalme ukiwa chini ya mkono wa mwanae na nitakupa wewe, makabila kumi. \v 36 Nitampa kabila moja mwana wa Sulemani ili kwamba Daudi mtumishi wangu atabaki kuwa nuru mbele yangu huko Yerusalemu, mji ambao nimeuchagua ili niweke jina langu.

View File

@ -1,2 +1,2 @@
\v 41 Na kwa mambo mengine yanayomhusu Sulemani, Yote ambayo alifanya na hekima zake, je, hayakuandikwa katika kitabu cha matukio ya Sulemani? \v 42 Sulemani alitawala Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini. \v 43 Naye akalala na
\v 41 Na kwa mambo mengine yanayomhusu Sulemani, yote ambayo alifanya na hekima zake, je, hayakuandikwa katika kitabu cha matukio ya Sulemani? \v 42 Sulemani alitawala Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini. \v 43 Naye akalala na
mababu zake na alizikwa katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu mwanae akawa mfalme mahali pake.