From 44c4ebc0f25174691ca95e5733129353e49d5218 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Fri, 28 Apr 2023 07:25:38 +0300 Subject: [PATCH] Fri Apr 28 2023 07:25:35 GMT+0300 (East Africa Time) --- 09/26.txt | 2 +- 10/01.txt | 2 +- 10/03.txt | 2 +- 10/06.txt | 2 +- 10/08.txt | 2 +- 10/10.txt | 2 +- 10/11.txt | 2 +- 10/13.txt | 2 +- 10/14.txt | 2 +- 10/16.txt | 2 +- 10/18.txt | 3 +-- 10/21.txt | 2 +- 12 files changed, 12 insertions(+), 13 deletions(-) diff --git a/09/26.txt b/09/26.txt index dda0064..7faabc0 100644 --- a/09/26.txt +++ b/09/26.txt @@ -1 +1 @@ -\v 26 Tena Sulemani alitengeneza merikebu kule Ezioni Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika ufukwe wa bahari ya shamu, katika nchi ya Edomu. \v 27 Hiramu alituma watumishi kwenye merikebu ya Sulemani, wanamaji wanaoijua bahari, pamoja na watumishi wake Sulemani. \v 28 28 Walikwenda kwa Ofri pamoja na watumishi wa Sulemani. Kutoka huko walileta takribani tani 14.5 za dhahabu kwa Sulemani. \ No newline at end of file +\v 26 Tena Sulemani alitengeneza merikebu kule Ezioni Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika ufukwe wa bahari ya shamu, katika nchi ya Edomu. \v 27 Hiramu alituma watumishi kwenye merikebu ya Sulemani, wanamaji wanaoijua bahari, pamoja na watumishi wake Sulemani. \v 28 Walikwenda kwa Ofri pamoja na watumishi wa Sulemani. Kutoka huko walileta takribani tani 14.5 za dhahabu kwa Sulemani. \ No newline at end of file diff --git a/10/01.txt b/10/01.txt index ddbf6ea..4975073 100644 --- a/10/01.txt +++ b/10/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 10 \v 1 1 Malkia wa Sheba aliposikia uvumi wa Sulemani kuhusu jina la BWANA, alikuja kumjaribu kwa maswali magumu. \v 2 2 Alikuja Yerusalemu na msafara mrefu, pamoja na ngamia waliokuwa wamebeba mizigo ya manukato, dhahabu nyingi, na mawe mengi ya thamani, akamwambia Sulemani yote yaliyokuwa moyoni mwake. \ No newline at end of file +\c 10 \v 1 Malkia wa Sheba aliposikia uvumi wa Sulemani kuhusu jina la BWANA, alikuja kumjaribu kwa maswali magumu. \v 2 Alikuja Yerusalemu na msafara mrefu, pamoja na ngamia waliokuwa wamebeba mizigo ya manukato, dhahabu nyingi, na mawe mengi ya thamani, akamwambia Sulemani yote yaliyokuwa moyoni mwake. \ No newline at end of file diff --git a/10/03.txt b/10/03.txt index d05a3ea..2a34a94 100644 --- a/10/03.txt +++ b/10/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 3 Sulemani akajibu maswali yake yote. Hapakuwepo na swali ambalo aliulizwa na mfalme akashindwa kujibu. \v 4 4 Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani, na ikulu aliyokuwa amejenga, \v 5 5 chakula cha mezani kwake, kuketi kwa watumishi wake, kazi ya watumishi wake na kuvaa kwao, pia wanyweshaji wake, na jinsi alivyotoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia. \ No newline at end of file +\v 3 Sulemani akajibu maswali yake yote. Hapakuwepo na swali ambalo aliulizwa na mfalme akashindwa kujibu. \v 4 Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Sulemani, na ikulu aliyokuwa amejenga, \v 5 chakula cha mezani kwake, kuketi kwa watumishi wake, kazi ya watumishi wake na kuvaa kwao, pia wanyweshaji wake, na jinsi alivyotoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia. \ No newline at end of file diff --git a/10/06.txt b/10/06.txt index 0ec1ab1..f7aeeb7 100644 --- a/10/06.txt +++ b/10/06.txt @@ -1 +1 @@ -\v 6 6 Akamwambia mfalme, "Ni kweli, ile taarifa ambayo nimeisikia nchini kwangu juu ya maneno yako na hekima yako. \v 7 7 Sikuamini kile nilichosikia hadi nilipofika hapa, na sasa macho yangu yamejionea. Hata nusu ya hekima na utajiri wako! Umezidi uvumi ambao nilikuwa nimesikia. \ No newline at end of file +\v 6 Akamwambia mfalme, "Ni kweli, ile taarifa ambayo nimeisikia nchini kwangu juu ya maneno yako na hekima yako. \v 7 Sikuamini kile nilichosikia hadi nilipofika hapa, na sasa macho yangu yamejionea. Hata nusu ya hekima na utajiri wako! Umezidi uvumi ambao nilikuwa nimesikia. \ No newline at end of file diff --git a/10/08.txt b/10/08.txt index 1cb2389..446232d 100644 --- a/10/08.txt +++ b/10/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 8 Tazama jinsi walivyobarikiwa wake zako, na jinsi walivyobarikwa watumishi wako ambao daima husimama mbele yako, kwa sababu wanasikia hekima zako. \v 9 9 BWANA, Mungu wako asifiwe, ambaye amependezwa na wewe, ambaye alikuweka kwenye kiti cha enzi cha Israeli. Kwa sababu BWANA aliipenda Israeli milele, na sasa amekufanya wewe kuwa mfalme, ili kwamba utoe hukumu ya kweli na ya haki. \ No newline at end of file +\v 8 Tazama jinsi walivyobarikiwa wake zako, na jinsi walivyobarikwa watumishi wako ambao daima husimama mbele yako, kwa sababu wanasikia hekima zako. \v 9 BWANA, Mungu wako asifiwe, ambaye amependezwa na wewe, ambaye alikuweka kwenye kiti cha enzi cha Israeli. Kwa sababu BWANA aliipenda Israeli milele, na sasa amekufanya wewe kuwa mfalme, ili kwamba utoe hukumu ya kweli na ya haki. \ No newline at end of file diff --git a/10/10.txt b/10/10.txt index 272e817..fc65d20 100644 --- a/10/10.txt +++ b/10/10.txt @@ -1 +1 @@ -\v 10 10 Basi Malkia alimpatia mfalme zaidi ya kilo 4,500 za dhahabu na kiasi kikubwa cha mawe ya thamani. Hapakuwahi kutokea kiasi kikubwa cha viungo kama hiki ambacho Malkia wa Sheba alitoa kwa mfalme Sulemani kuwahi kutolewa tena. \ No newline at end of file +\v 10 Basi Malkia alimpatia mfalme zaidi ya kilo 4,500 za dhahabu na kiasi kikubwa cha mawe ya thamani. Hapakuwahi kutokea kiasi kikubwa cha viungo kama hiki ambacho Malkia wa Sheba alitoa kwa mfalme Sulemani kuwahi kutolewa tena. \ No newline at end of file diff --git a/10/11.txt b/10/11.txt index 97e3517..9728b83 100644 --- a/10/11.txt +++ b/10/11.txt @@ -1 +1 @@ -\v 11 11 Ile merikebu ya Hiramu, ambayo ilileta dhahabu kutoka Ofri, pia ilileta Kutoka Ofri kiasi kikubwa cha miti ya msandali na vito vya thamani. \v 12 12 Mfalme alitengeneza nguzo za hekalu kwa ajili ya hekalu la BWANA na kwa nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda kwa hao waimbaji. haijatokea kiasi cha miti ya misandali kama hicho ambacho kimewahi kutokea hadi leo. \ No newline at end of file +\v 11 Ile merikebu ya Hiramu, ambayo ilileta dhahabu kutoka Ofri, pia ilileta Kutoka Ofri kiasi kikubwa cha miti ya msandali na vito vya thamani. \v 12 Mfalme alitengeneza nguzo za hekalu kwa ajili ya hekalu la BWANA na kwa nyumba ya mfalme, na vinubi na vinanda kwa hao waimbaji. haijatokea kiasi cha miti ya misandali kama hicho ambacho kimewahi kutokea hadi leo. \ No newline at end of file diff --git a/10/13.txt b/10/13.txt index 53bf276..40c483f 100644 --- a/10/13.txt +++ b/10/13.txt @@ -1 +1 @@ -\v 13 13 Mfame Sulemani alimpatia Malkia wa Sheba kila kitu ambacho alihitaji, na kila kitu alichoomba, na zaidi ya yote Sulemani alimpatia kwa ukarimu wake vitu vya kifalme. Kisha akarudi kwake na watumishi wake. \ No newline at end of file +\v 13 Mfame Sulemani alimpatia Malkia wa Sheba kila kitu ambacho alihitaji, na kila kitu alichoomba, na zaidi ya yote Sulemani alimpatia kwa ukarimu wake vitu vya kifalme. Kisha akarudi kwake na watumishi wake. \ No newline at end of file diff --git a/10/14.txt b/10/14.txt index 3c537c8..b1c57f1 100644 --- a/10/14.txt +++ b/10/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 14 Kiasi cha dhahabu ambazo zililetwa kwa Sulemani kwa mwaka mmoja kilikuwa takribani kilo 23,000 za dhahabu, \v 15 15 zaidi ya dhahabu ambazo wafanya biashara na wachuuzi walileta. Wafalme wote wa Uarabuni na maliwali wa nchi pia walileta dhahabu na fedha kwa Sulemani. \ No newline at end of file +\v 14 Kiasi cha dhahabu ambazo zililetwa kwa Sulemani kwa mwaka mmoja kilikuwa takribani kilo 23,000 za dhahabu, \v 15 zaidi ya dhahabu ambazo wafanya biashara na wachuuzi walileta. Wafalme wote wa Uarabuni na maliwali wa nchi pia walileta dhahabu na fedha kwa Sulemani. \ No newline at end of file diff --git a/10/16.txt b/10/16.txt index 3ee60d7..4de0d41 100644 --- a/10/16.txt +++ b/10/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 16 Mfalme Sulemani alitengeneza ngao 200 za dhahabu iliyofuliwa, shekeli 600 za dhahabu zilichukuliwa pamoja na ngao. \v 17 17 Pia alitengeneza ngao 300 za dhahabu iliyofuliwa. Mane tatu za dhahabu ziliambatana pamoja na ngao moja moja; mfalme aliviweka katika ikulu ya mwitu ya Lebanoni. \ No newline at end of file +\v 16 Mfalme Sulemani alitengeneza ngao 200 za dhahabu iliyofuliwa, shekeli 600 za dhahabu zilichukuliwa pamoja na ngao. \v 17 Pia alitengeneza ngao 300 za dhahabu iliyofuliwa. Mane tatu za dhahabu ziliambatana pamoja na ngao moja moja; mfalme aliviweka katika ikulu ya mwitu ya Lebanoni. \ No newline at end of file diff --git a/10/18.txt b/10/18.txt index 44fc53b..984913f 100644 --- a/10/18.txt +++ b/10/18.txt @@ -1,2 +1 @@ -\v 18 18 Kisha mfalme akafanya kiti kikubwa cha enzi kwa pembe na akakisakafia kwa dhahabu laini. \v 19 19 -Hicho kiti kilikuwa na ngazi sita, na kitako chake kilikuwa cha mviringo. Na kilikuwa kimezungushiwa kwa mikono pande zake zote. Na simba wawili walisimama pembeni mwa ile mikono. \v 20 20 Kulikuwa na simba kumi na wawili waliokuwa wamesimama kwenye ile ngazi. Moja katika kila upande wa ngazi hizo. Hapakuwepo na kiti kama hicho katika ufalme mwingine. \ No newline at end of file +\v 18 Kisha mfalme akafanya kiti kikubwa cha enzi kwa pembe na akakisakafia kwa dhahabu laini. \v 19 Hicho kiti kilikuwa na ngazi sita, na kitako chake kilikuwa cha mviringo. Na kilikuwa kimezungushiwa kwa mikono pande zake zote. Na simba wawili walisimama pembeni mwa ile mikono. \v 20 Kulikuwa na simba kumi na wawili waliokuwa wamesimama kwenye ile ngazi. Moja katika kila upande wa ngazi hizo. Hapakuwepo na kiti kama hicho katika ufalme mwingine. \ No newline at end of file diff --git a/10/21.txt b/10/21.txt index 1d3cdad..450b471 100644 --- a/10/21.txt +++ b/10/21.txt @@ -1 +1 @@ -\v 21 21 Vikombe vyote vya kunywea vya mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu. Na vikombe vyote vya kunywea vya ikulu ya mwitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hapakuwepo na kikombe cha fedha, kwa sababu fedha haikuwa na thamani katika siku za Sulemani. \v 22 22 Mfalme alikuwa na merikebu za kusafiri pamoja na merikebu za Hiramu. Mara moja kila mwaka merikebu zilileta dhahabu, fedha, na pembe za ndovu, pamoja na nyani na tumbili. \ No newline at end of file +\v 21 Vikombe vyote vya kunywea vya mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu. Na vikombe vyote vya kunywea vya ikulu ya mwitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hapakuwepo na kikombe cha fedha, kwa sababu fedha haikuwa na thamani katika siku za Sulemani. \v 22 Mfalme alikuwa na merikebu za kusafiri pamoja na merikebu za Hiramu. Mara moja kila mwaka merikebu zilileta dhahabu, fedha, na pembe za ndovu, pamoja na nyani na tumbili. \ No newline at end of file