Mon Apr 24 2023 13:32:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 13:32:11 +03:00
parent fb109147ee
commit 24c7b04ac2
4 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
27Huramu akatengeneza makalio kumi ya shaba, Kila kalio lilkuwa na urefu wa mita 18, upana wa mita 1. 8, na kimo cha mita 1.3. 28 Hivi ndivyo kazi za makalio zilivyofanywa, Yalikuwa na papi ambazo zilikaa kati kati ya vipandio, 29 na juu ya papi na vipandio kulikuwa na simba, makisai, na makerubi. Chini na juu ya simba kulikuwa na masongo ya kazi ya kufuliwa.
\v 27 \v 28 \v 29 27 Huramu akatengeneza makalio kumi ya shaba, Kila kalio lilkuwa na urefu wa mita 18, upana wa mita 1. 8, na kimo cha mita 1.3. 28 Hivi ndivyo kazi za makalio zilivyofanywa, Yalikuwa na papi ambazo zilikaa kati kati ya vipandio, 29 na juu ya papi na vipandio kulikuwa na simba, makisai, na makerubi. Chini na juu ya simba kulikuwa na masongo ya kazi ya kufuliwa.

1
07/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 \v 31 30 Kila kalio lilikuwa na magurudumu ya shaba na vipini, na pande zake nne na miguu yake minne ilikuwa na mataruma chini ya birika. Chini ya birika yalikuweko mataruma ya kusubu yenye masongo katika kila upande. 31 Na kinywa chake kilikuwa cha kuviringana, chenye upana wa sentimita arobaini na sita, na ile taji ilikuwa na sentimita ishirini na tatu. Na kinywa chake kilikuwa na nakshi, na papi zake zilikuwa za mraba, na wala siyo za mviringo.

1
07/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 \v 33 32 Yale magurudumu mawili yalikuwa chini ya papi, na mikono ya magurudumu yalikuwa ndani ya makalio. Kimo cha yale magurudumu kilikuwa sentimeta sitini na tisa. 33 Yale magurudumu yalikuwa kama ya gari. Mikono yake, na maduara, matindi yake, na vipande vya ndani vyote vilikuwa vya kusubu.

1
07/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 \v 35 34 Kulikuwa na mataruma manne katika pande zake nne za makalio, yaliyokuwa yameshikamanishwa na kalio lenyewe. 35 Juu ya makalio kulikuwa na duara yenye kina cha sentimita ishirini na tatu, na juu ya makalio mashikio yake na papi zake zikiwa zimeshikamanishwa.