Mon Apr 24 2023 16:48:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 16:48:44 +03:00
parent 24d892c2bd
commit 1718f3192b
7 changed files with 9 additions and 0 deletions

1
19/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 \v 14 13 Naye Eliya alipoisikia sauti, akafunika uso wake kwa vazi lake, akatoka nje, akasimama kwenye lango la hilo pango. Na sauti ikaja kwake ikisema, "unafanya nini hapa?, 14 Eliya akajibu, "nimeona wivu sana kwa ajili ya BWANA, Mungu wa majeshi, kwa kuwa watu wa Israeli wameliacha agano lako, wamezihariibu madhabahu zako, na wamewaua manabii kwa upanga. Sasa, ni mimi pekee yangu, nimebaki na wanajaribu kuichukua roho yangu."

1
19/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 \v 16 15 Kisha BWANA akamwambia, "Nenda, rudi kwa njia yako kwenye jangwa la Dameski, na utakapofika utamtia mafuta Hazaeli awe Mfalme wa Shamu, 16 na utamtia mafuta Yehu mwana wa Nimshi kuwa mfalme wa Israeli, na utamtia mafuta Elisha mwana wa Shafeti wa Abeli Mehola kuwa nabii mahali pako.

1
19/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 17 Itakuwa hivi Yehu atamwua kila mmoja atakayejaribu kutoroka upanga wa Hazaeli, na kwamba Elisha atamwua kila atakayejaribu kukwepa upanga wa Yehu. 18 Lakini nitawaacha watu elfu saba katika Israeli kwa ajili yangu, ambao magoti yao hayajawahi kupigwa kwa Baali, na ambao midomo yao haijambusu."

3
19/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,3 @@
\v 19 \v 20 19 Kwa hiyo Eliya akaondoka mahali pale na akamkuta Elisha mwana wa Shafati, akilima na jozi za makisai kumi na mbili mbele yake, na yeye mwenyewe alikuwa akilima na ile jozi ya kumi na mbili. Eliya akaenda mpaka
kwa Elisha akamtupia vazi lake juu yake. 20 Elisha naye akawaacha wale makisai akamkimbilia Eliya; akamwambia, "Tafadhali naomba nikambusu baba yangu na mama yangu kisha nitakufuata." Naye Eliya akamwambia, "Rudi, lakini fikiria juu ya kile nilichokufanyia."

1
19/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 21 Kwa hiyo Elisha akarudi toka kwa Eliya na akachukua ile jozi ya makisai, akawaua wale wanyama, na akapika ile nyama kwa kuni za ile nira. Kisha akawapa watu wakala. Kisha akaamka, akamfuata Eliya akamtumikia.

1
20/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 20 \v 1 \v 2 \v 3 1 Beni Hadadi mfalme wa Shamu akakusanya jeshi lake lote pamoja. Kulikuwa na wafalme thelathini na mbili wasaidizi pamoja naye, na magari na farasi. Akapanda, akaihusuru Samaria na kupigana nayo. 2 Akatuma wajumbe katika mji kwa Ahabu mfalme wa Israeli, akamwambia, "Beni Hadadi anasema hivi: 3 Fedha zako na dhahabu zako ni zangu. Pia wake zako na watoto, wale wazuri, sasa ni wangu."

1
20/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 20