Mon Apr 24 2023 13:18:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 13:18:07 +03:00
parent 2a6e497881
commit 11fd221df5
4 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
36 Akalijenga Korido la ndani kwa safu tatu za mawe ya kuchongwa na safu moja ya mhimili wa mierezi.
\v 36 36 Akalijenga Korido la ndani kwa safu tatu za mawe ya kuchongwa na safu moja ya mhimili wa mierezi.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 7 \v 1 \v 2 1 Ilimchukua Sulemani miaka kumi na tatu kujenga ikulu yake. 2 Aliijenga ikulu iliyoitwa mwitu wa Lebanoni. Urefu wake ulikuwa mita 46, na upana wake ulikuwa mita 23, na kimo chake kilikuwa mita 14. Nayo ilikuwa na safu nne ya nguzo za mierezi na mithili ya mwerezi juu ya nguzo.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 \v 4 \v 5 3 Paa la ikulu lilikuwa la mwerezi ambalo lilikaa juu ya mihimili. Mihimili hiyo ilikuwa imeshikiliwa na nguzo. Kulikuwa na mihimili arobaini na tano, ambayo ilikuwa katika safu kumi na tano. 4 Nayo mihimili ilikuwa safu tatu, na kila dirisha lilikabili dirisha lingine katika madaraja matatu. 5 Milango yote na miimo ilitengenezwa kwa mraba, na madirisha yalikuwa yakikabiliana katika madaraja matatu.

1
07/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 7