Fri Sep 01 2023 20:17:45 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 20:17:46 +03:00
parent be7ae65513
commit ef1d769149
5 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Katika hili tunalijua pendo, kwa sababu kristo aliutoa uhai wake kwa ajili yetu. Nasi yatupasa kuyatoa maisha yetu kwa ajili ya ndugu. \v 17 Lakini yeyote aliye na vitu, na anamuona ndugu yake mwenye uhitaji, lakini huuzuia moyo wake wa huruma kwa ajili yake; je, upendo wa Mungu unakaaje ndani yake? \v 18 Watoto wangu wapenzi, tusipende kwa midomo wala kwa maneno matupu bali katika vitendo na kweli.

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Katika hili tunajua kwamba sisi tuko katika kweli, na mioyo yetu inathibitika katika yeye. \v 20 Ikiwa kama mioyo yetu yatuhukumu, Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu, na yeye hujua mambo yote. \v 21 Wapenzi, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri kwa Mungu. \v 22 Na chochote tuombacho tutakipokea kutoka kwake, kwa sababu tunazishika amri zake na tunafanya mambo yanayopendeza mbele zake.

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Na hii ndiyo amri yake ya kwamba yatupasa kuamini katika jina la Mwanaye Yesu Kristo na kupendana sisi kwa sisi kama alivyotupatia amri yake. \v 24 Anayezitii amri zake hudumu ndani yake, na Mungu hukaa ndani yake. Na kwa sababu hii twajua kuwa hukaa ndani yetu, Kwa yule Roho aliyetupa.

1
04/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 4

View File

@ -59,6 +59,11 @@
"03-04",
"03-07",
"03-09",
"03-11"
"03-11",
"03-13",
"03-16",
"03-19",
"03-23",
"04-title"
]
}