Fri Sep 01 2023 20:25:39 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 20:25:39 +03:00
parent 15402b8018
commit d07b68a110
6 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Na ushuhuda ndio huu -- kwamba Mungu alitupa uzima wa milele, na uzima huu umo ndani ya Mwanawe.\v 12 Aliye naye Mwana ana uzima. Asiye na Mwana wa Mungu hana uzima.
\v 11 Na ushuhuda ndio huu -- kwamba Mungu alitupa uzima wa milele, na uzima huu umo ndani ya Mwanawe. \v 12 Aliye naye Mwana ana uzima. Asiye na Mwana wa Mungu hana uzima.

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Nimewaandikia haya mambo muweze kujua kwamba mnao uzima wa milele - ninyi mnaoamini katika jina la Mwana wa Mungu. \v 14 Na huu ndio ujasiri tulionao mbele zake, kwamba kama tukiomba kitu chochote sawa sawa na mapenzi yake, hutusikia. \v 15 Na kama tunajua kwamba hutusikia -- chochote tumwombacho tunajua kwamba tunacho hicho tulichomwomba.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kama mtu amwonaye ndugu yake anatenda dhambi isiyopelekea kifo, yampasa kuomba na Mungu atampa uzima. Ninasema kwa wale ambao dhambi yao ni ile isiyopelekea kifo. Kuna dhambi ipelekeayo kifo; sisemi kwamba anapaswa kuomba kwa ajilli ya dhambi hiyo. \v 17 Matendo yote yasiyo ya haki ni dhambi, lakini kuna dhambi isiyopelekea kifo.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Tunajua ya kuwa aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi. Bali aliyezaliwa na Mungu hutunzwa naye salama daima, na yule mwovu hawezi kumdhuru. \v 19 Tunajua kuwa sisi ni wa Mungu na tunajua kwamba ulimwengu wote uko chini ya utawala wa yule mwovu.

1
05/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini twajua kwamba Mwana wa Mungu amekuja na ametupatia ujuzi, kwamba tunamjua yeye aliye kweli na kwamba tumo ndani yake yeye aliye kweli, hata katika Mwanawe Yesu Kristo. Ni Mungu wa kweli na uzima wa milele. \v 21 Watoto wapenzi, jiepusheni na sanamu.

View File

@ -77,6 +77,11 @@
"05-01",
"05-04",
"05-06",
"05-09"
"05-09",
"05-11",
"05-13",
"05-16",
"05-18",
"05-20"
]
}