Fri Sep 01 2023 20:13:45 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 20:13:46 +03:00
parent b830710051
commit 3df93af3c8
6 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Kama kwa ajili yenu, kile mlichosikia toka mwanzo acha kiendelee kuwa ndani yenu. Kama kile mlichosikia toka mwanzo kitakaa ndani yenu, pia, mtakaa ndani ya Mwana na Baba.\v 25 Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi: uzima wa milele. 26 Nimewaandikia haya ninyi kuhusu wale ambao wangewaongoza ninyi katika upotevu.
\v 24 Kama kwa ajili yenu, kile mlichosikia toka mwanzo acha kiendelee kuwa ndani yenu. Kama kile mlichosikia toka mwanzo kitakaa ndani yenu, pia, mtakaa ndani ya Mwana na Baba. \v 25 Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi: uzima wa milele. \v 26 Nimewaandikia haya ninyi kuhusu wale ambao wangewaongoza ninyi katika upotevu.

1
02/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Na kwa ajili yenu, yale mafuta mliyoyapokea kutoka kwake yanakaa ndani yenu, na hamtahitaji mtu yeyote kuwafundisha. bali kama mafuta yake yanawafundisha kuhusu mambo yote na ni kweli na siyo uongo, na hata kama yameshawafundisha, kaeni ndani yake. \v 28 Na sasa, watoto wapendwa, kaeni ndani yake, ili wakati atakapotokea, tuweze kuwa na ujasiri na siyo kujisikia aibu mbele yake katika kuja kwake. \v 29 Kama mnajua kuwa yeye ni mwenye haki, mnajua kwamba kila mmoja atendaye haki amezaliwa na yeye.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 3 \v 1 Oneni ni pendo la namna gani ametupatia Baba, kwamba tunaitwa watoto wa Mungu, na hivi ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui kwa kuwa haukumtambua yeye. \v 2 Wapendwa sisi sasa ni watoto wa Mungu, na haijadhihirika bado jinsi tutakavyokuwa. Twajua kwamba Kristo atakapoonekana, tutafanana naye, kwani tutamuona kama alivyo. \v 3 Na kila mmoja ambaye ana ujasiri huu kuhusu wakati ujao ulioelekezwa kwake, hujitakasa mwenyewe kama yeye alivyo mtakatifu.

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kila mtu anayeendelea kutenda dhambi huvunja sheria. Kwa sababu dhambi ni uvunjaji sheria. \v 5 Mnajua Kristo alidhihilishwa ili kuziondoa dhambi kabisa. Na ndani yake hamna dhambi. \v 6 Hakuna hata mmoja akaae ndani yake na kuendelea kutenda dhambi. Hakuna mtu hata mmoja akaae katika dhambi ikiwa amemuona au kumfahamu yeye.

1
03/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 3

View File

@ -51,6 +51,11 @@
"02-15",
"02-18",
"02-20",
"02-22"
"02-22",
"02-24",
"02-27",
"03-title",
"03-01",
"03-04"
]
}