Thu Apr 27 2023 00:39:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 00:39:29 +03:00
parent 70ee361092
commit e3ead46e40
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Wana wa Pedaya walikuwa Zerubabeli na Shimei. Wana wa Zerubabeli walikuwa Meshulamu na Hanania; Shelomithi alikuwa dada yao. \v 20 Wanawe wengine watano walikuwa Hashuba, Oheli, Berekia, Hasadia, na Yushabu Hesedi. \v 21 Wana wa Hanania walikuwa Pelatia na Yeshaya. Mwanawe alikuwa Refaya, na uzao wake zaidi walikuwa ni Arnani, Obadia, na Shekania.

1
03/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Wana wa Shekania walikuwa Shemaya na wanawe: Hatushi, Igali, Baria, Nearia, na Shafati. \v 23 Wana watatu wa Nearia walikuwa Elioenai, Hizekia, na Azrikamu. \v 24 Wana saba wa Elioenai walikuwa Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohana, Delaya, na Anani.

1
04/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 4

View File

@ -83,6 +83,8 @@
"03-10",
"03-13",
"03-15",
"03-17"
"03-17",
"03-19",
"03-22"
]
}